Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
02:30
Vipi hapo hauji kabisa leo hali ngumu pot lindo lako hiliDah Leo sijui
KAzi nzuri02:25
Dah, Wife akiwepo Huwa nalala usiku mzima, dahVipi hapo hauji kabisa leo hali ngumu pot lindo lako hili
Kaz nzuri02:35 sijalala nasimama nakojoa
Hahaha nakaribia kumaliza jug la maji ya kunywa02:35 sijalala nasimama nakojoa
23:29 salute comrades kungwi To yeye ndumila kuwili National Anthem, panya wabaka wa jf Bantu Lady Dahan, super boss Mwachiluwi by jobless wa kimataifa.
Kuna mtu anakoroma hapo namsikia02:30 Sina hata chembe ya usingizi
Mzee tema busara hapa😂2:37