Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,358
- 100,380
Hahaha Leo Niko alone, naona hata mbu wamegoma kunipa kampani. Aisee mbu kumbe Wana nafasi yake kubwa Dana kwenye suala Zima la usingizi, sikuwahi kujuaKuna mtu anakoroma hapo namsikia