Joto sanaZa huko mujini, munaendeleaje ??
Ukija usisahau kuniletea cowberry ya kulamba, ile ya 100Joto sana
Karibu tuvute usingizi na mziki
We utaloa sasa maana wewe na mbapeNawatch zangu game ya psg,kyky keshapiga zake hat trick na njr kafunga moja jumla 4 buyu,na ndo kwanza first half.
MOTM...KYLIAN
CAPTAIN WA LEO...KYLIAN
Burrrdaaaaniii kabisa.
View attachment 2493475
Sema mbape alitakiwa aje EPL ,hiyo league ya France ni ya kiduanziNawatch zangu game ya psg,kyky keshapiga zake hat trick na njr kafunga moja jumla 4 buyu,na ndo kwanza first half.
MOTM...KYLIAN
CAPTAIN WA LEO...KYLIAN
Burrrdaaaaniii kabisa.
View attachment 2493475
Mkataba wake uko restricted ndo maanaSema mbabe alitakiwa aje EPL ,hiyo league ya France ni ya kiduanzi
Wao inapendeza,Nawatch zangu game ya psg,kyky keshapiga zake hat trick na njr kafunga moja jumla 4 buyu,na ndo kwanza first half.
MOTM...KYLIAN
CAPTAIN WA LEO...KYLIAN
Burrrdaaaaniii kabisa.
HomeAo
Wao inapendeza,
Home au sehm nyngne
Alikua atue Liverpool yani hapoMkataba wake uko restricted ndo maana


Akagoma,mkataba wake upo restricted to 3 clubs only kWnye EPLAlikua atue Liverpool yani hapo![]()
Shangazi na wewe kumba unakeshaga ehh🤔🤔😴😴😴😴😴
Aje basi hata NBCAkagoma,mkataba wake upo restricted to 3 clubs only kWnye EPL
MtafutanoNan kwao wamekata umeme kama kwetu
NaaamWe salt
Nipo shift 😁23:52
Shangazi na wewe kumba unakeshaga ehh🤔🤔