Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,758
- 6,318
Pole.. Angalia kama joto linapungua baada ya kumpa dawa na mengine.. Kama hali bado peleka hospitali mkuuAnahisi barid
Pole.. Angalia kama joto linapungua baada ya kumpa dawa na mengine.. Kama hali bado peleka hospitali mkuuAnahisi barid
Joto limepinguaPole.. Angalia kama joto linapungua baada ya kumpa dawa na mengine.. Kama hali bado peleka hospitali mkuu
Acha ujinga, utachukuliwa msukuleSamahani wakuu, hivi ukisikia sauti inakuita nje mda huu ukiitika kuna shida?
Lazima tulinde huoni watu wamelala?Dhidi ya nini dada watchman
Kesho oga vizuri, chana nywele, piga mswaki,vaa ur best suruali, katiza mitaa ya katikati ya mji, mimama mishangingi nasikia inatongoza vijana, au sura yako ndio haitamaniki kabisa???hahaKwa njaa ambayo ninayo, mdomo wangu una kazi ya kula tu
Duh nmesikia sauti ya kike ikiniita jina langu nkasita kuitika, nmechungulia nje sioni mtuAcha ujinga, utachukuliwa msukule
Watu wanapenzika nani alale na upepo huuLazima tulinde huoni watu wamelala?
Hizo nywele,suruali na mswaki navitoa wapi??Kesho oga vizuri, chana nywele, piga mswaki,vaa ur best suruali, katiza mitaa ya katikati ya mji, mimama mishangingi nasikia inatongoza vijana, au sura yako ndio haitamaniki kabisa???haha
Acha mchezo kabisa, utakuja kuibwa kama nguoDuh nmesikia sauti ya kike ikiniita jina langu nkasita kuitika, nmechungulia nje sioni mtu
Nenda tuu huenda mtu anahitaji msaada kutoka kwako😂Duh nmesikia sauti ya kike ikiniita jina langu nkasita kuitika, nmechungulia nje sioni mtu
Usithubutu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Samahani wakuu, hivi ukisikia sauti inakuita nje mda huu ukiitika kuna shida?
Niende wapi na sioni mtu nje pametulia tuliNenda tuu huenda mtu anahitaji msaada kutoka kwako😂
😂 nacheka lakini naogopaUsithubutu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja nipige maombi yani usingizi umekata kabisaAcha mchezo kabisa, utakuja kuibwa kama nguo
Ndiyo muda mzuri wa maombi huu.Ngoja nipige maombi yani usingizi umekata kabisa
Sawa mkuu karibu tujumuike kwa dakika chacheNdiyo muda mzuri wa maombi huu.
02:10