Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,425
- 96,791
Hongera kwa ujasiri wako, mimi jobless Sina la kusemaNajua kama ni yeye mabaharia tunaanzia mbali, next text reply ingekua "basi duniani wawili mdada huyo aliniumiza sana,sina tena hamu ya mapenzi, ila nikimpata alie tulia nitampa moyo wangu "hahah