Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,420
- 96,775
I got nothing to say, nothing to play and the game is so easy sometimes I delay
Kafanyaje Mama Mchungaji?Meegan Good
Vyurence😂😂😂 Vawulence..
Tupooooo💪💪💪
Lol mdada wa kwenye avatar yako, sio Meagan Good??Kafanyaje Mama Mchungaji?
Vipi mzee kunguni???au Mbu
Hapana kabisa kabisaLol mdada wa kwenye avatar yako, sio Meagan Good??
Nitarud kuwachungulia Tena🙃Tupooooo💪💪💪
Hajui Kama ni weweHapana kabisa kabisa
Kulikoni na kuguna usiku huu? Usingizi umesafiri kwao?
Pole sana utafanyaje??Mwanangu anachemka joto la mwili wakuu
Nawaza kwenda hospital usiku huu huu Sina jinsi.. nimpe Panadol kwanzaPole sana utafanyaje??
Chukua kitambaa laini kisha kiloweke kwenye maji, uwe una mfuta kuanzia kichwani Hadi tumboni, itamsaidiaMwanangu anachemka joto la mwili wakuu
Kwanini anachemka?Mwanangu anachemka joto la mwili wakuu
Najua kama ni yeye mabaharia tunaanzia mbali, next text reply ingekua "basi duniani wawili mdada huyo aliniumiza sana,sina tena hamu ya mapenzi, ila nikimpata alie tulia nitampa moyo wangu "hahahHajui Kama ni wewe
Ni mdogo? Chukua maji ya uvuguvugu, na kitambaa safi. Uwe unamsponji kuanzia kichwani na sehemu zile unaona kuna joto sana.Mwanangu anachemka joto la mwili wakuu
Panadol imesaidia kiasNi mdogo? Chukua maji ya uvuguvugu, na kitambaa safi. Uwe unamsponji kuanzia kichwani na sehemu zile unaona kuna joto sana.
Poleni sana, hakikisha maji yawe ma uvuguvugu, yasiwe ya baridi.
Je kwenda hospitali hamuwezi?