StarboyX
Member
- Mar 21, 2022
- 42
- 116
Ndo nipo nasikiliza kwa mbaliii...Changamoto kwa kweli kukosa usingizi halafu akili haina utulivu , pole sana.
Hukosi cha kusogeza hata baadhi ya nyimbo uzipendazo.
Ndo nipo nasikiliza kwa mbaliii...Changamoto kwa kweli kukosa usingizi halafu akili haina utulivu , pole sana.
Hukosi cha kusogeza hata baadhi ya nyimbo uzipendazo.
Hadi kieleweke😂😂Pamoja sana mpaka mswaki
Safari ya maisha au 😂😂😂😂Nasubiri kuanza safari saa 11 Leo nimekuwa mpopo
Ume-hands-up Bantu Lady🙂
Hiyo nilishaanza kitambo🙂Safari ya maisha au 😂😂😂😂
kuna mtu ananipapasa kalio,nalala sikuhizi balaaa😝😝To yeye leo umedoji lindo, mtu chake unapotea lindo lako fyddell hello Intelligent businessman muda wa lindo umefika De Professor karibuni lindoni
😳bora mamndenyi,huyu UA la pekee akiamka hapa.....ni mvurugano