Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Kumekucha kama movie
Mapema yoote hi unaenda wapiIkawe siku njema kwa wote
😂😂😂😂 Morning Glory ya upendo! Huyo upendo huyoKha! Hahaha nasubiria Morning Glory ya Upendo Radio
Utasinzia sana kazini leo, maana umekeshaNipo kwenye daladala to job.....mkawe na siku njema kwenu wote
Kila siku ni iviivi mkuuUtasinzia sana kazini leo, maana umekesha
Una shida ya kukosa usingizi?(insomnia)Kila siku ni iviivi mkuu
Nalala masaa manne tuUna shida ya kukosa usingizi?(insomnia)
Hayako enough..Nalala masaa manne tu
wanatoa salary nzuri tuWanalipa mkuu?
Shem To yeye Nakuomba uniamshie baby wangu Unique Flower na rafiki yake MamndenyiKila siku ni iviivi mkuu
Shem upo eeh00:00