JamiiForums Usiku wa manane
OH sawa mkuu. Nadhan nisizembee karka hii fursa. Napenda nikuweke katka maombi ila sijui nakuwekaje maana nakosa key. Sijui umenielewaaa?
Nimeelewa brother, lakini nadhani mara nyingi unapoonza kusali/kuomba nguvu ya Mungu ama tunawaza kusema Roho mtakatifu (upande wa christian) inakuwezesha au kukusaidia jinsi bora ya kuomba.
Maana sote hatujui namna bora ya kuomba isipokuwa kudaiwa na Mungu ikiwa umeweka nia.
 
Back
Top Bottom