Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Nipoooo kama kawa, kama dawa 😅😅😅😅Shem upo eeh
Nipoooo kama kawa, kama dawa 😅😅😅😅Shem upo eeh
Ndo umepokea shiftNipoooo kama kawa, kama dawa 😅😅😅😅
SafiiiTumekutana tena kwa mara nyingine kila siku wale wale duu 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ukiona hvyo ujue usafiri umekuwa mwepesi hamna folen ndo maana wanawah kufika kaznLindo linaharibiwa sana siku hizi.
Muda ni kuanzia saa 6 kamili za usiku. Linafungwa saa 11 kamili alfajiri...
But utakuta saa 5 usiku watu washaingia lindoni!!! Hao ni wizi 😄😄😄😄😄
Tumekutana tena kwa mara nyingine kila siku wale wale duu![]()
sio matatizo ya akili haya kweli kukosa usingizi maanaSafiii
Wakiwahi wasiingie lindoni, moaka muda muafaka, zamani sheria ilikuwa inafatwa vizuri. Inapendeza tukifata sheria vizuri. Usiku wa manane ✌Ukiona hvyo ujue usafiri umekuwa mwepesi hamna folen ndo maana wanawah kufika kazn
Hii imekaa vizuri nadhan tuheshmuWakiwahi wasiingie lindoni, moaka muda muafaka, zamani sheria ilikuwa inafatwa vizuri. Inapendeza tukifata sheria vizuri. Usiku wa manane ✌
HAha haha hqsio matatizo ya akili haya kweli kukosa usingizi maana
😂😂😂😂
Atatusaidia sana.Jana Ambiele Kiviele aliupiga mwingi, sijui alikuwa anakunywa nini!!!
Next weekend tunamkaribisha tena lindoni 🤣🤣🤣🤣
Karibu karbu sana0014hrs
Asante mkuuKaribu karbu sana
Pole na night lady00:15