JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nawaza Sana pesa kuliko mademu, aisee kwanza hapa nasikiliza Upendo radio naona wanapiga gospel laini sana.

Ikifika saa 11 kasoro dakika 3 kuna wimbo wanaucheza kila siku, 'amani kwa wote'
 
Back
Top Bottom