JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bongo mkipishana na mtu kwa mitazamo tofauti ukamshinda kwa facts utasikia " We jamaa nilikuwa nakuheshimu sana ila leo nimeku shusha vyeo" Hapana nanii we uko wrong tu hio heshima baki nayo tu..
 
Back
Top Bottom