fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,686
- 24,005
Sio kwamba ndio kanekuletea mneso wa usingizi buddy?😄Dah, kausingizi kangu kametoweka
Sio kwamba ndio kanekuletea mneso wa usingizi buddy?😄Dah, kausingizi kangu kametoweka
Ndiyo,tunaenda saa ngapiHaha mimi niko Mbeya, unaenda kanisa gani my dear?
Ninapo abudu ibada inaanza saa nne. Hapa nalinda huku nasindikizwa na kitu cha Way Maker ya Sinach🎼🎵🎶Ndiyo,tunaenda saa ngapi
Aagh wapiSio kwamba ndio kanekuletea mneso wa usingizi buddy?😄
Basi imekula kwako mkuu. Wengine kanawapaga utelezi wa usingizi😄😄Aagh wapi
Wacha wee,haya bas muda ukifika ibada njema kwakoNinapo abudu ibada inaanza saa nne. Hapa nalinda huku nasindikizwa na kitu cha Way Maker ya Sinach🎼🎵🎶
Mimi saa hizi nawaza kikwetu tuBasi imekula kwako mkuu. Wengine kanawapaga utelezi wa usingizi😄😄
Tangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?04:31 🦇🦇🦇
Kila siku upo kwenye lindoTangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?
We national 🐜 upo04:31 🦇🦇🦇
😀😀😀 huwa silali usiku kabisa, sema huwa napita pitia kusoma bila comment .. hapa nikitoka kanisani ndia nitalala sasaTangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?
Nipo mkuu 😀😀😀 kumekucha lakiniWe national 🐜 upo
Nimeattach nyimbo, haionekani kwako?Ipi baba?
Yaaah watu hatulali asee huu usingixi umenikacha 🤒🤒Nipo mkuu 😀😀😀 kumekucha lakini
Mume sina,pesa sina nipo na komwe tu....usingizi nautoa wapi mkuu?😕Kila siku upo kwenye lindo
kadi umri ukiwa unasonga package ya usingizi inapungua, itafika mahala ulali kabisaYaaah watu hatulali asee huu usingixi umenikacha 🤒🤒