Oi niko macho. Kasome uzi wangu unaitwa "mfano". Nenda search andika mfano itakuja.01:15 Dsm kimvua kwa mbaali
Kasome uzi wangu unaitwa "mfano"Wew unangoja nini wakati wenzako wote wameshalala??![]()
Mkuu kasome uzi wangu unaitwa "mfano"Nashukuru mzee, salam zimefika
Toto000z!!!! Naona upaja huo...0107
Sio ugomvi ilikua romance tuu,Acha hizo...Leo Niko lindo nyumbani kwa mkubwa Fulani. Mkubwa karudi saa saba usiku, mpaka muda huu bado Kuna mzozo ndani Kati ya mkubwa na mkewe.
Leo ndio nimegundua kumbe hata wenye V8 mbele za wake zao wako Kama sisi tu. Maugomvi hayaishi pamoja na mihela yote