03:11 hellow00:00 19/july/2022 Tuesday hello đź‘‹
Mzee nipo nakula msuli paper wa usaili baba kumetulia saiz hamna kelele yaan 3:37Yaani kuitwa kwenye udaili sensa ndo nakosa hata lepe la usingizi!!!
Nitavaa blue suit. Wewe njoo moja kwa moja kwangu na rushwa yako ya 50,000. Kazi utapataYaani kuitwa kwenye udaili sensa ndo nakosa hata lepe la usingizi!!!
MsejaKwahyo mwanaume ataitwa nani?
Hiyo nondo si ungefanya namna tusheee upendo mkuuMzee nipo nakula msuli paper wa usaili baba kumetulia saiz hamna kelele yaan 3:37
Duh! Fungu la kumi kabisa?Nitavaa blue suit. Wewe njoo moja kwa moja kwangu na rushwa yako ya 50,000. Kazi utapata
Nashukuru mzee, salam zimefika