AmenBwana Yesu asifiwe
Amani iwe nanyi
Hii ndio haina kulala eHebu kwanza tuone
Nakesha na mbu tunapeana kampaniHii ndio haina kulala e
Dawa ya mbu nasikia ni biaNakesha na mbu tunapeana kampani
ukinywa mbu alikung'ata analewa anaondoka na kuwaambia wenzake hapa hapafai?
Watu wanakosea sana, mbu Wana instrumental Moja tamu sanaaaaa only if one knows the value of music 🎵🎶.... nawapenda sana jinsi wanavyoimba masikioni mwangu.Dawa ya mbu nasikia ni biaukinywa mbu alikung'ata analewa anaondoka na kuwaambia wenzake hapa hapafai?
Peruzi Jf lala acha kuangalia Ponoo ili ujichukulie sheria mkononi nyau kabisaaa si utafute demu utakufaaa bure..![]()





Hahaha 😂Peruzi Jf lala acha kuangalia Ponoo ili ujichukulie sheria mkononi nyau kabisaaa si utafute demu utakufaaa bure..![]()