Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Nipo home,nimetoka club; nipe habari wakuu
Hayo ndio maisha0113,Rock city hapa nakula LiveBand..
Yes,Sio kila siku kujenga tuu.Hayo ndio maisha
Maisha yana sehemu kuu tatu; kuzaliwa,kuishi, na kufaYes,Sio kila siku kujenga tuu.
Watu wanawaza Familia na kujenga tuu wanajisahau wenyewee.Maisha yana sehemu kuu tatu; kuzaliwa,kuishi, na kufa
Kama umerudi peke yako na kuwaacha wale warembo club shauri yako, baridi ya leo si mchezo.Nipo home,nimetoka club; nipe habari wakuu