Umemtia mimba Mama Mkwe??03:14..
Wadau nimeota ndoto ya ajabu... Hadi nimekumbuka uzi
Hahahhh hapana ila mwana kama kuotea we n soo.. Nimeota demu wangu flani tuliezaa nae kaja kunitafuta mkoani kwangu... Sasa tukaanza kuliaUmemtia mimba Mama Mkwe??
Hahahaah hio sio ndoto hizo ni nyege wala haitishiHahahhh hapana ila mwana kama kuotea we n soo.. Nimeota demu wangu flani tuliezaa nae kaja kunitafuta mkoani kwangu... Sasa tukaanza kulia
Ahahahhhh tatizo mi na yy tulizinguana nyege wapi mkuu huku nilipo mademu wamekua wengi hadi nawakimbia hahahhhHahahaah hio sio ndoto hizo ni nyege wala haitishi
Mlizinguana kimwili sio kihisiaAhahahhhh tatizo mi na yy tulizinguana nyege wapi mkuu huku nilipo mademu wamekua wengi hadi nawakimbia hahahhh
Hahhhhhh demu mkorofi kinoma kisa alikua na hela ndo akataka aniendeshe....Mlizinguana kimwili sio kihisia