Pls ebu achana na dem wangu mzee
Aise ndiyo mchezo wenu sawaNiachane naye kwamba wewe ni mumewee au niachane naye kwani nimewahi kuwa naye kwenye mahusiano. Wanawake ni kwetu sote, acha uchoyo mkuu. Wewe atakuburudisha Nyumbani wengine atatuhudumia mtaani…! That’s life.
3:24
Aise ndiyo mchezo wenu sawa
Ila tusilaumiane
Poa kaka..Mambo dada [mention]Yna2 [/mention] …! Naamini muda huu uliamka kwa ajili ya kusali na ninaamini umetukumbuka na sisi wenye dhambi.
Kwa hiyo unataka nikuachie wewe mwenyewe mapenzi??Achana na mapenzi mkuu, utakufa siku si zako.
Poa kaka..
Kwema?
Kwa hiyo unataka nikuachie wewe mwenyewe mapenzi??
Au wewe hautakufa?
Wanawake wastaarabu ni kwa ajili ya wanaume wastaarabu kama mimi huyo dada ni mtu wa maombi ananifaa Mimi we tafuta wadhambi wenzako kama ulivo sema akuombe
Njoo na Mimi nikuombee nipo kawe
Nimeamka salama kaka angu Mungu yu mwemaKwema dada yangu. Umeamkaje lakini mpendwa ?
jamaniiiiiiiiiiLonely Soul....
Kwanini mkuu?😔jamaniiiiiiiiii
just feeling pity for the lonely soul, nothing specific mkuuKwanini mkuu?😔
shukran sanaa,Karibu pia.... kasoro nusu saa tu lindo lianzeJirani karibu tulinde