JamiiForums Usiku wa manane
Nimeshaamua sana mpaka nimechoka sasa kuamua maana kila nikiamua bado naambulia patupu hivyo wacha nibaki kuwa mlinzi wa wenye 'majukumu yao'
Hujawa jasiri tu, we ukiona kuna mtu mnaweza mkaendana naye muombe 'appointment', baada ya hapo mfungukie tu
 
Back
Top Bottom