Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Dah....huku kwetu ndiyo kimeanza[emoji2960]Ngoja nilale sasa at least radi zimepungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....huku kwetu ndiyo kimeanza[emoji2960]Ngoja nilale sasa at least radi zimepungua
Amempitia utopoloHivi Jobo kashapita??
Tuko pamoja4:08
NimekaribiaKaribuni daku!
mimi zaidi aisee, Jf zamani unakunywa uji unaridhika kabisa maana ukija huku raha mustareheNipo kipenzi, nimekuham sana my dear[emoji7]
Sio corona tu, Shem hata kimbunga JOBOmimi zaidi aisee, Jf zamani unakunywa uji unaridhika kabisa maana ukija huku raha mustarehe
siku hizi sijui uchumi umekaa vibaya tunashindwa kuja kupata raha zetu huku
ila Mungu ni mwema tumevushwa salama na hili wimbi la corona