jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Jobo kilichukua tahadhari mapema, kilimuuliza ndugu yake Corona vp TZ walikupokeaje...kilivyopata taarifa kilikuwa kipole tuSio corona tu, Shem hata kimbunga JOBO
hahahahahahha
shem u mzima lakini? furaha yangu nikusikie ukiwa na furaha
Kwa leo acha tuzivunje tu maana tumemissiana vya kutosha