jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
santeeeeeKwa leo acha tuzivunje tu maana tumemissiana vya kutosha
santeeeeeKwa leo acha tuzivunje tu maana tumemissiana vya kutosha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣loooh hayaSheria zipo ili zivunjwe![]()
yaani pale ilipoadimika ilituingiza chaka kabisa mzuka ukapunguaAcha kabisa, kipindi kile hiki kilikuwa bonge la kijiwe, story kwa sana utani wa hapa na pale yaani full burudani, siku hizi panabore unaweza ukajikuta unakesha peke yako hapa
Kabisa, au tutafute kijiwe kingine cha kushinda nacho maana kwa mchana ni rahisi zaidi kukutana hata wawili watatu kuliko usiku ukizoingatia na hiki kijibaridi cha usiku siku hizi.yaani pale ilipoadimika ilituingiza chaka kabisa mzuka ukapungua
hahahahah ni kama unapata raha fulani gafla inakatizwa na kitu fulani kuirejesha inachukua muda
shem bhana unanifanya nifurahi maana umeandika ninachojua kichwani..ila with time tutarudi tu kama zaman
haswaaa umesema kitu,,,hebu jaribu kukianzisha ili tuweze kurudi taratibuKabisa, au tutafute kijiwe kingine cha kushinda nacho maana kwa mchana ni rahisi zaidi kukutana hata wawili watatu kuliko usiku ukizoingatia na hiki kijibaridi cha usiku siku hizi.
Hata pesa, zinapatikana kimasihara cha msingi uwe na konekesheni nduguMimi nilijua ni watu tu wanaokulana kimasihara kumbe hata pesa zinapatikana kimasihara siku hizi? Inabidi niongee na wewe kiutu uzima ili unipe connection mjini hapa


Kumbe eeeHata pesa, zinapatikana kimasihara cha msingi uwe na konekesheni ndugu![]()

Una mkono mrefu lakini?Kumbe eee
Nipe koneksheni swahiba nami nataka nipige pesa kimasihara
Una mkono mrefu lakini?
mkono wangu unatakiwa uwe urefu wa mita ngapi?
SanaaHuku kumepoa sana siku hizi
Jinsia yako tafadhali04:42 nimekaa kitandani usingizi umekata.
Kuna nani hapa tuliwazane kusogeza masaa.
Kwa rafudhi ya kisukuma kabisa mimi ni Ng'wanaume.Jinsia yako tafadhali
ndo naelekea😴Don't you slee?