Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Love you babe ndio maana nakupendagaSina wivu nakuamini![]()
Love you babe ndio maana nakupendagaSina wivu nakuamini![]()
Ubarikiwe sanaWapendwa wacha niwakimbie...nataka nikawahi misa ya kwanza nisije nikakosa siti!
Nawatakia kila la heri wapendwa wangu!
Asanteh mpz, nahis tutaongozana mie mwenyewe nataka niwahi misa ya piliWapendwa wacha niwakimbie...nataka nikawahi misa ya kwanza nisije nikakosa siti!
Nawatakia kila la heri wapendwa wangu!

Me too baby, gudnight.Love you babe ndio maana nakupendaga
Nipo apa nlikua nasubili kuitwaNgoja nikawatafute![]()

Ndo nini kunitelekeza tena siku muhimu namna hii?Jamani,nina sign out. Sijamuona baba chanja wangu leo.
![]()
Namshukuru Mungu kwakweli nipo poa mpenzi, wapi baba chanja![]()