JamiiForums Usiku wa manane
Ulijuaje best?
Nipo hapa na testi kazi ya mikono ya mkulima wa msumbiji vijijini,kitu kimechumwa kikiwa kishakomaa,kika kaushwa uzuri,kuchambuliwa na kuchepwa kwa ustadi .nabembea tu tartiibu kwenye rythm mida hii,huku nikisindikizia msisimko na ledibluu ya baridi.
 
Mkuu una roho mbaya, hatukaribishani kweli? Kumbuka unatakiwa kizuri ule na nduguyo
 
Back
Top Bottom