JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Angalia AZAM 103 LIVE HARUSI YA JOTI NI BURUDANI TOSHA.KUNA SEBENE LINAPIGWA NA JOTI ANAKATA MAUNO NA CHRISTIAN BELLA HATARI AU WEKA TBC UONE MATANGAZO YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
 
Angalia AZAM 103 LIVE HARUSI YA JOTI NI BURUDANI TOSHA.KUNA SEBENE LINAPIGWA NA JOTI ANAKATA MAUNO NA CHRISTIAN BELLA HATARI AU WEKA TBC UONE MATANGAZO YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
Huyo unayemshauri kalala fofofo tangu saa12:30 jioni.
 
Back
Top Bottom