JamiiForums Usiku wa manane
Hatimae waonekana baada ya mvua kuisha eeeh!

Manga ML na Neybright wanaswali wanataka kukuuliza.
Mie mbona nipo humu ndugu angu. Mara ya mwisho mvua ya juzi ile...
Swali gani la baba chanja??? Maana nawafatilia comment zenu mjue mi shilawadu nawazoom tu
 
Mie mbona nipo humu ndugu angu. Mara ya mwisho mvua ya juzi ile...
Swali gani la baba chanja??? Maana nawafatilia comment zenu mjue mi shilawadu nawazoom tu
Basi kumbe swali unalijua,lijibu ili wakija wasihangaike kukuuliza
 
Back
Top Bottom