Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 356
- 482
Usingizi utakujaje na tumbo linadai!
Bila bila, bora uachane na maisha ufanye vitu vingine.
Usingizi utakujaje na tumbo linadai!
Bila bila, bora uachane na maisha ufanye vitu vingine.
Zitakua akili za usiku hizo, me nipo Buza
Maisha ndiyo key player mzee, utawachezesha wachezaji gani wengineBila bila, bora uachane na maisha ufanye vitu vingine.
Okey mkuu hizi akili natakiwa kuzifanyia reformationZitakua akili za usiku hizo, me nipo Buza
Wala usihangaike na hilo, asubuhi zitakua sawa tu zenyewe. Si unajua usiku mambo ni mengi
Ni pombe mbona mkuu, kama ungekua umeiva kwenye chemistry ungefahamu mapema, hizo ni pombe mkuuHizi sanitizer zinatufundisha ulevi aisee, nimegundua nyingi zina kaharufu ka k vant.
Unanipiga chenga wewe kama sunguraWala usihangaike na hilo, asubuhi zitakua sawa tu zenyewe. Si unajua usiku mambo ni mengi
Kwahiyo walevi wa spirits wako safe?Ni pombe mbona mkuu, kama ungekua umeiva kwenye chemistry ungefahamu mapema, hizo ni pombe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app




Mida kama hii hali ya hewa nje inakuaga nzuri hivi kumbe!
Sasa hapo unachanganya mambo, ukinywa sio kwamba unaimarisha ulinzi, ulinzi wako ni kinga ya mwili, ukinywa vitu vyenye vitamin c kama machungwa lemon nanasi na vingine ila pombe haiwezi kuzuia coronaKwahiyo walevi wa spirits wako safe?
Mida kama hii hali ya hewa nje inakuaga nzuri hivi kumbe!
Yes sana yani na kaubaridiiii fulani hivi basi burudani kweliSawa mkuu, hapa nakula limao na maganda yakeSasa hapo unachanganya mambo, ukinywa sio kwamba unaimarisha ulinzi, ulinzi wakonni kingabya mwili kunywa vitu vyenye vitamin c kama machungwa lemon nanasi na vingine ila pombe haiwezi kuzuia corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Adi natamani nilale hapa hapa nje aisee
Safiii mkuu, jikinge mkuuSawa mkuu, hapa nakula limao na maganda yake
😂😂 Daah af sijawanga kitambo, umenikumbusha mbali sana.