Mkuu we malizia huku usalama upo
Cctv surveillance ipo 24/7 na suma jkt, tunakuhakikishia ulinzi popote uendapo tunashukuru kwa kutuwakilisha kwenye hicho kipande cha mupe muruke
Nikiwa na akili zangu timamu bila ya kushawishiwa na mtu yeyote na kwa kuzingatia sheria na taratibu za jf usiku wa manane kifungu namba 4 ibara ya 16a sina budi kusitisha lindo kutokana na wahusika kutokomea pasipo julikana
Hivyo bhasi kwa yeyote atakayejitokeza hatakuwa na haki ya kufungua jukwaa hili mpaka itakapotimu kesho kwenye 00:00hrs
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Usisite kujikinga na corona
Kwa maana ukifa si hasara kwetu bali utaitia familia yako
Sisi yetu machozi kukulilia na chakula kukibugia
Stay safe kumbuka kuwa huruhusiwi kuuza mechi ugenini ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.