Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Hivi kwani rona bado yupo? Sijamsikia hizi siku mbili tatu...
Hivi kwani rona bado yupo? Sijamsikia hizi siku mbili tatu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo hicho kichwa kama hujanywa pombe, hivi Ukiwanga unaendaga uchi, hivi hiyo dhana ya kuwanga uchi inamaanisha nini kwenu, au huwa mnakulana wanga kwa wanga au hamtamaniani[emoji23][emoji23] Daah af sijawanga kitambo, umenikumbusha mbali sana.
Ila sikuhizi nimeacha, nimeokoka japo mtaani kwetu huku wanga wengi
Yupo aisehhh na sahivi amekuja kivingine anakula wazee kinoma kuliko vijanaHivi kwani rona bado yupo? Sijamsikia hizi siku mbili tatu...
I had makande for dinner, sjui ndio shida adi usingizi umekosa, hata sielewi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo hicho kichwa kama hujanywa pombe, hivi Ukiwanga unaendaga uchi, hivi hiyo dhana ya kuwanga uchi inamaanisha nini kwenu, au huwa mnakulana wanga kwa wanga au hamtamaniani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Safi midnight pilot [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo uchi wako wanga wenzako wameshauona [emoji41]I had makande for dinner, sjui ndio shida adi usingizi umekosa, hata sielewi.
Kwenye kuwanga ukiwa uchi ndio hauonekani na watu[emoji3] pia inasaidia unapaa vizuri bila vizingiti huko njiani.
Kukulana hairuhusiwi ukiwa kwa mission, ni marufuku yaan, ndo wale unakuta wanaanguka chini adi asbh wanakutwa na watu nje.
Hii flashback nzuri sana😍
Yeah ni kawaida kwa wanga kuonana[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Safi midnight pilot [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwahiyo uchi wako wanga wenzako wameshauona [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes indeed nimekumbuka mbali leo na hizi nyimbo, enzi hizo lyrics unaandika kwa daftariHii flashback nzuri sana[emoji7]
Enzi hizo hata lyrics sizijui vizuri ila nilikua nakuimbia chorus mwanzo mwisho balaa[emoji1]
Famili affairHii flashback nzuri sana[emoji7]
Enzi hizo hata lyrics sizijui vizuri ila nilikua nakuimbia chorus mwanzo mwisho balaa[emoji1]
Kiwango cha kuimba kimeishia wapi au uhengaHii flashback nzuri sana[emoji7]
Enzi hizo hata lyrics sizijui vizuri ila nilikua nakuimbia chorus mwanzo mwisho balaa[emoji1]
Ilikua kidogo niwe msanii na mimi enzi zile, too bad daftari langu la nyimbo lilikamatwa nikiwa std 7 nikacharazwa bakora za kutosha na ndoto zangu zikafia hapo...Yes indeed nimekumbuka mbali leo na hizi nyimbo, enzi hizo lyrics unaandika kwa daftari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unawanga?