Tanescoooooo why?
Mjumbee mambo ya viwanda tusahau umeme gani huu tunagaiwa kama pipiTanescoooooo why?
Wenye pesa ndiyo hawana usingizi, atalalaje bila kujua faida ya siku iliyoingiza kampuniAisee ukiwa hauna pesa usingizi hauji kabisa!!
Leo hata sijui umeenda wapi! Nimetoka hadi nje hapa kuutafuta nimeukosa.
Miss you a lot1:56
Tukeshe sasaLeo hata sijui umeenda wapi! Nimetoka hadi nje hapa kuutafuta nimeukosa.
Wacha niwe mlinzi na mimi leo...
Hivi upo dar sioLeo hata sijui umeenda wapi! Nimetoka hadi nje hapa kuutafuta nimeukosa.
Wacha niwe mlinzi na mimi leo...
Mkuu ulisha notice ukiwa na njaa usingizi huwa hauji?Wenye pesa ndiyo hawana usingizi, atalalaje bila kujua faida ya siku iliyoingiza kampuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna namna
Huwa nakufanishaga na x wanguLeo hata sijui umeenda wapi! Nimetoka hadi nje hapa kuutafuta nimeukosa.
Wacha niwe mlinzi na mimi leo...
Usingizi utakujaje na tumbo linadai!Mkuu ulisha notice ukiwa na njaa usingizi huwa hauji?
Mkuu ulisha notice ukiwa na njaa usingizi huwa hauji?
Pole mkuu sasa unafanyaje, siku ilipita hujaingiza hata chochoteAnaitwa nani
Nipo jijini