Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Kuna aina nyingi pia za kukojoa mkuu.
Nimeota nimejikojolea
Nimeota nimejikojolea
Basi lile geti napishana nalo kila nikija huwa limefungwa haya nitarudi tena!![]()




Mkuu usiku wote huu unatoka?Imsomnia imenikamata leo usingizi kwisha tabu sana natoka naenda kupata moja mbili kimboka
Aaa kwangu ni kawaida sana usiku ni mzuri sana hata kwa kufanya meeting mbali mbali hata matajiri wengi mfano marehemu subash kumpata kwake ilikuwa ni usiku zaidi hata marehemu mengi night are so cool so that most intellegent peoples usesMkuu usiku wote huu unatoka?
Dah wewe mwongo
Kumekuchasss amken
Hakun leta maji tuwaloweshee kidogWatu wamepo fo fo fo.
Shwari kiongozi, habari zikoje pande hizoSafi na salama
Wallah hakuna ambaye angekubali kukesha hapa![]()
Mkuu unaish jirani na maeneo hayo?Imsomnia imenikamata leo usingizi kwisha tabu sana natoka naenda kupata moja mbili kimboka
Janani muda huu tuko wangapi hapa