Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
0215Hrs
Usitupe Jongoo na mti wake, uwe unakuja kuja kuwatembelea wadau hapaNiliwamiss
Kitambo Sana sijapita huku
Oooh salama, mzima lakiniWalinzi wenzangu
Hamjambo.
Fanya hivyo, baada nusu saa uje ukamate usukaniMkuu nakuachia kijiti
Leo mbona mapema mkuu0206Hrs
Sign out!
Wanalindo kila la kheri.
Angalia vizuri mkuu, ndoto za aina hiyo zina huwa hazipotei bureNimeota nimejikojolea
Shwari mkuu.03:01AM
Habari zenyuu
Tuko pamoja mkuu, usiwaze.Nimepokea lindo sasa
Oh sawa bossAaa kwangu ni kawaida sana usiku ni mzuri sana hata kwa kufanya meeting mbali mbali hata matajiri wengi mfano marehemu subash kumpata kwake ilikuwa ni usiku zaidi hata marehemu mengi night are so cool so that most intellegent peoples uses
Teh! Teh! Teh!
Litakuwa lina allergy na mimi si bure.
Limeona naweza kuchafua ndani bure maana umepamba ndani ndio maana naishia getini.![]()








