Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
😂😂😂😂 Nimeacha bwana..siyo wewe umechunia Mimi?Ujaacha kukesha tu, alafu sikuzi umenichunia..
😂😂😂😂 Nimeacha bwana..siyo wewe umechunia Mimi?Ujaacha kukesha tu, alafu sikuzi umenichunia..
ni mazito ila mapambano yanaendelea vizuriMambo ni mazito.
Mungu atusaidie kwa kweli.ni mazito ila mapambano yanaendelea vizuri
[emoji4] kama kawaida yako.12:19
Ujalala [emoji15] bado?12:55
Bado na sina dalili za usingz imagine!Ujalala [emoji15] bado?
Sio kawaida yako kuwa macho mpaka saiz?Bado na sina dalili za usingz imagine!
Wacha nami nilinde leo