wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Hapana mkuu...ni chako
Kiko vzr sana.
Hapana mkuu...ni chako
JF na watu wake.Unalinda nn?
Dar Niko Tabora kijiwe moko matataa, totoz kama zoteAliyepo johari rotana anicheki hapa faster, tupeane company
Aliyepo johari rotana anicheki hapa faster, tupeane company
Hongeraaaah.Dar Niko Tabora kijiwe moko matataa, totoz kama zote
Mie?Hongeraaaah.
Kwani mie mfupi? Ila leo nipo naburudika kidg c unajua weekend.Kumbe hujalal unatka urefuke lin sasa
Ndyo weyeeeehMie?
Kwani mie mfupi? Ila leo nipo naburudika kidg c unajua weekend.
AhasanteeeeNdyo weyeeeeh
Hata kesho ni sikuwazee leo chafu mbili moja kaniambia niletee chocolate mwingine njoo home wameniagiza vocha nikaanza na wa vocha kanambia kasharudi ndani huyu wa chocolate namkuta yupo na jamaaa chocho nimeishiwa kukatiwa simu ...nimerusha tofali tatu nne nimeenda kulala na ham zang
😂😂😂 Pole nduguwazee leo chafu mbili moja kaniambia niletee chocolate mwingine njoo home wameniagiza vocha nikaanza na wa vocha kanambia kasharudi ndani huyu wa chocolate namkuta yupo na jamaaa chocho nimeishiwa kukatiwa simu ...nimerusha tofali tatu nne nimeenda kulala na ham zang
Kwani zimekat kote c ni kwako tuuuh lol.Mmh ni kweli.mkuu wap.unakopat burudani maan mii geto.unit za umeme chal zimekat