the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,117
Nzuri mkuu, karibu lindoniHabari za weekend wakuu
Nzuri mkuu, karibu lindoniHabari za weekend wakuu
Basi nawaachia Tanga yenu,
Siiwezi.
Asante, mapambano bado yanaendeleaPole Mkuu
Asante mkuu,Pole kijana,
Utakua poa,
Amen.
Unawezaje kutopasua kibuyu,[emoji3][emoji3][emoji3] mi mwenyewe mgeni tu mkuu.
2:33
[emoji28]Mmeshindwa lindo.
Ukiwa Umeenda Tanga ukawa ktk ile shughuli then ukasikia mrembo anakwambia mwenzio jirani anakuonea wivu ogopa sana.
sawa sawa mkuuNipo Dodoma-Kikuyu kuna hali ya mvua kunyesha 03:13.