T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,097
Saa 11:12
Unalinda nn?Nipo lindoni leo.
Subiri nawaona haoo wanakujaNani wapo pande za Juliana mida hii?
Hapana kiongoziKama una ratiba ya ibada kesho kupumzika mapema muhimu.
E bwana ee,Niko ndani ya deluxe train Arusha-Dar
Niko buffet hapa watu wanapiga bia kama hawana akili na mziki mneneE bwana ee,
Nakuishi kote sijawahi panda treni,
Bro mandhari ya treni nisafishe macho.
Mkuu ndio wapi hukoLeo npo lindo pande za ilongero
Singida kaskaziniMkuu ndio wapi huko
Uyo bwana aliekaa karibu na speaker 🔊 anajipenda kweli,Niko buffet hapa watu wanapiga bia kama hawana akili na mziki mneneView attachment 1696282
Jamaa ameona akae karibu,akiwa mbali hasikiiUyo bwana aliekaa karibu na speakeranajipenda kweli,
Wako vizuri wazee wa vyombo wanafaidi,
Unafika dar/arusha huna ata mia.
Hua unatumaga text moja alafu unatoroka....0000
07.02.2021
Lindoni