the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
04:00


Tupo mkuu, lindo lipo salama kabisaOyiiiiii oyiiii makamanda mpo
Nakubali mkuu. Mi natozwa ushuru hapa Liquid Pub KurasiniNolasco Kigamboni, tunalipa kodi as usual...View attachment 1696401
Hahaha nakubali let us meet next weekend...hii ishapita, Mwenyezi Mungu atujalie uzima, nakaa karibu sana na Liquid, ila sio mteja wao sijawahi kujua..asante kaka.Nakubali mkuu. Mi natozwa ushuru hapa Liquid Pub Kurasini
Za asubuhi mamaa4:30
Achana na sisi, tuna simu zetu tunaona muda...hahaha, endelea kulipa kodi.4:30
Sisi wengine tunaanza saa tano usiku mpaka saa tano asubhi, karibu tunywe supu saa tano asbh na tuzime vibia viwili kisha kila mmoja akalaleee j3 tuamke poa kwa ajili ya majukumu.4:30
Hilo limepita mkuu, tuombe uzima. Ijumaa au Jumamosi itapendeza zaidi. Binafsi huwa ni nadra sana kupitisha wiki bila kwenda kuripoti Liquid au Maasai club, pale Kilwa roadHahaha nakubali let us meet next weekend...hii ishapita, Mwenyezi Mungu atujalie uzima, nakaa karibu sana na Liquid, ila sio mteja wao sijawahi kujua..asante kaka.

Salama za kwakoZa asubuhi mamaa
Hapana mkuu...ni chakoHicho kidole ni chako mkuu?
Umekaa sehemu gani....Mtonye counter nile bia mbili utanionaKama kuna jf member yoyote (any gender) yupo karibu na MINAZINI BAR hapa taifa anicheki, kuna jambo
Upo wapi exactly mkuu?Umekaa sehemu gani....Mtonye counter nile bia mbili utaniona
Njoo tuveshe counter hapa mkuuUpo wapi exactly mkuu?
Mkuu njoo hapa kaunta, nimevaa jezi nyeupeNjoo tuveshe counter hapa mkuu