Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Wengi wako kwenye kilimo cha watotoWatu wanalala sanaaa
Wengi wako kwenye kilimo cha watotoWatu wanalala sanaaa
Mapumziko muhimu sana y mwili na akiliShughuli za kila siku acha wapate kupumzika
😃😃😃😃😃😃😃Wengi wako kwenye kilimo cha watoto
4454Hrs
Mkuu walindo?
upo !
Sahihi kabisa mkuu..Taratibu Boss Tunajaribu Kuwepo Lindo.
Sahihi kabisa mkuu..
Ni uhakiki usalama wa lindo ni muhihu ili kudumisha amani yetu
Naona mkuu...Tunakaribia kufunga uzi
0529Hrs
26 . 01 . 2021
Naona mkuu...
Dakika
zimesalia chache kufika , tamati ya leo.
0538Hrs
🧘♂️Basi lindo lipo salama boss.