T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Saa 00:24
2021 leo ndio naingia kwenye huu uzi.
Mambo vipi wadau,naona lindo linaendelea
Ukiwa na njaa usingizi hauji
Kweli kabisaKwema kabisa boss.
Lindo ni kama mwizi anakimbizwa kimya kimya.
Kweli kabisa
Karibu2021 leo ndio naingia kwenye huu uzi.
Leo nadhani nitatoboa mpaka asubuhi, sioni hata dalili za kulalaTuendelee lindo taratibu kabisa
Leo nadhani nitatoboa mpaka asubuhi, sioni hata dalili za kulala
Watu wanalala sanaaa