Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Leo nimewatembelea kidogo
Kwema niaje pande hizo
We jamaa umekuwa adimu sana. Mwambie huyo pisi asikabe hadi penaltySigned!
In or out?Signed!
Kwani hawa ndugu zetu shida iko wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo tuseme mzimu wa Ozil uko kazini unawaadabisha? 😂Shida ni kumtelekeza Ozil[emoji23][emoji23][emoji23]
Na anavyoswali yule jamaa hao watapigwa mpaka washuke championship.Kwahiyo tuseme mzimu wa Ozil uko kazini unawaadabisha? [emoji23]
Kwahiyo tuseme mzimu wa Ozil uko kazini unawaadabisha? [emoji23]