Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,995
- 189,581
0501
Hapa uzi unakuwa hot kuanzi 00:00 A.M hadi 06:00A.M tu.
Muda mwingine unakuwa closed
hiyo ni suna mkuu..naona unaulizia jibu hahahahahahhahaUnafanya nini mida hii, au unakula utamu ndiyo ulale [emoji23][emoji23]
nafurahi kusikia hivyo.Salam imefka
Upo vizuri sanahiyo ni suna mkuu..naona unaulizia jibu hahahahahahhaha
Na baridi la Arusha nitaachaje kuwa vizuri mkuuUpo vizuri sana
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu nipo mkoa mmoja, mbona baridi ya kawaida au unajiendekeza [emoji1787][emoji1787] unajibebisha tuNa baridi la Arusha nitaachaje kuwa vizuri mkuu