Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,924
Hata kama ndo kila dakika uzi haupumuiHapa ni mwendo wa kupokezana lindo mkuu
Hata kama ndo kila dakika uzi haupumuiHapa ni mwendo wa kupokezana lindo mkuu
Hapa uzi unakuwa hot kuanzi 00:00 A.M hadi 06:00A.M tu.Hata kama ndo kila dakika uzi haupumui
Sawa mkuu, ila ninachohisi wengine umu wako nch za nje, uku ikiwa usiku kwao ni mchanaHapa uzi unakuwa hot kuanzi 00:00 A.M hadi 06:00A.M tu.
Muda mwingine unakuwa closed
Afande haya mambo tutayashughulikia usjaliNimechezewa vya kutosha sasa basi....
ww hizo ndoto zako hizo!!
hahahaMashabiki wa Liverpool wameamka na hangover ya ramos
makucha ya nani?na makucha yakeee
hela hakuna ila uchumi upo vizuri kabisa
usifanye hivyoMuda si mrefu nakinukisha mahakamani kudai haki yangu
hela hakuna ila uchumi upo vizuri kabisa
arudi kazini tu, honeymoon si imeshaisha!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mumkabidhi jenerali mama atakuwa ana msumbua huko
arudi kazini tu, honeymoon si imeshaisha!
yes yes![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hakuna namna aendelee tuu na kibarua hapo
Hii ni nyumba yangu nyingine shemejiUmehamia huku? Jizazi![]()

.......