Director Kenny
JF-Expert Member
- Jan 11, 2020
- 347
- 851
0014 signing in an out [emoji1435][emoji1435][emoji1435]
Salam imefkaNawasalimu wote mapopo mlio macho
Nakuona mtaalam wa kukimbiza upepo. Shwari mzeeNamna gani paleeee!!
Nakuona mtaalam wa kukimbiza upepo. Shwari mzee
Nilikuwa natafuta kampani mzee, tulianzishe kama vpNilishaacha kitambo, kujichosha tu.
Mapema sana mzeeAm out 0048
Nilikuwa natafuta kampani mzee, tulianzishe kama vp
Pesa nishazitafuta mwili unahitaji staminaTutafute hela tu, tutaajiri mabaunsa.
Unafanya nini mida hii, au unakula utamu ndiyo ulale [emoji23][emoji23]Nawasalimu wote mapopo mlio macho
Mida ya wangaMida mibayaa