mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,456
- 36,471
Na gegeda goli la mwishoNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
hahahahha now hakuna baridi mkuu uko kwa wapi weye Arusha[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu nipo mkoa mmoja, mbona baridi ya kawaida au unajiendekeza [emoji1787][emoji1787] unajibebisha tu
Njiro mtu wangu, wewe pande zipihahahahha now hakuna baridi mkuu uko kwa wapi weye Arusha
weweeee uko unakaa uzunguni mtu wangu ila mimi nakaa huku Kisongo kijijiniNjiro mtu wangu, wewe pande zipi
Kissongo sio mbali eti nyie si ndiyo wa kwanza kuona ndege inavyotua na inavyochomoko, watalii wote wanaanzia huko [emoji1787][emoji1787]weweeee uko unakaa uzunguni mtu wangu ila mimi nakaa huku Kisongo kijijini
hahahahha but am just happy mkuu
uwiii after kiwanja kupanuka yes but now hapana jaman usituinue kablaKissongo sio mbali eti nyie si ndiyo wa kwanza kuona ndege inavyotua na inavyochomoko, watalii wote wanaanzia huko [emoji1787][emoji1787]