herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
Ameeeeeeen
0258
🚶🚶🚶🚶
0258
🚶🚶🚶🚶
0304
Naona mshalala
.[emoji363][emoji363][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444]
Hajui[emoji23]Tupoo
Mk logistic watakusaidia hebu wacheki Instagramna je vipi kwa mizigo mikubwa kama kitanda godoro, fredge nk kampuni gani iko vizuri kwa kuagiza kuja mikoani mfano Bukoba
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humu ndani tulikuja kubaki walinzi wachache tu, wengine wameacha kazi naona bado hela za kampeni bado zinawatunza
Kampeni modeHumu ndani tulikuja kubaki walinzi wachache tu, wengine wameacha kazi naona bado hela za kampeni bado zinawatunza
Huwa napenda kuagiza vitu vingi tu.Nilitumia posta aisee vikaibiwa vichache na vingine vikafika, bado mzigo haukuja kwa wakati, watumieMK Logistic wapo vizuri sana, nilishawatumia pia kunitumia simu hii nayotumia sahivi Huawei, unataka kuagiziwa mzigo gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nchi gani unataka kuagiza njoo DM nikupe jamaa atakae kusaidia, yupo UKHuwa napenda kuagiza vitu vingi tu.