JamiiForums Usiku wa manane
Hivi ulishawahi kuagiza kitu mtandaoni na ukapata kwa wakati bidhaa yako? Bongo hii huduma hawaiwezi kabisa ni
Nilitumia posta aisee vikaibiwa vichache na vingine vikafika, bado mzigo haukuja kwa wakati, watumieMK Logistic wapo vizuri sana, nilishawatumia pia kunitumia simu hii nayotumia sahivi Huawei, unataka kuagiziwa mzigo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now open
giphy.gif
 
na je vipi kwa mizigo mikubwa kama kitanda godoro, fredge nk kampuni gani iko vizuri kwa kuagiza kuja mikoani mfano Bukoba

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom