Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
atakayepatikanaHahahaaaa. Unavizia waliokesha clubs au target ipoje?
atakayepatikanaHahahaaaa. Unavizia waliokesha clubs au target ipoje?
Hapo umetega angle gani? Maana kutekwa unategemea na location piaatakayepatikana
Mkuu tutalijadili hili kesho,ngoja nianze mitego yangu,kesho siku ndefu sana ,baadaeHapo umetega angle gani? Maana kutekwa unategemea na location pia
Mkuu tutalijadili hili kesho,ngoja nianze mitego yangu,kesho siku ndefu sana ,baadae




Sawa sawaTupo mkuu
Salama tu mpendwa😊...natumai uko poa kabisa
Sawa sawa
Huyo kwenye avator ni ww eeh ?Saa 00:28 tayari?
1:14 leo nipo
Dorian mkuuWapi hiyo boss?
Taifa star kafungwa sina usingizi kabisa nawaza nitampata wapi wakunifariji wakati wa usikuNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Nipe number yake mwambaMimi tangu saa nane nipo tu nawaza mchepuko wangu, maana tumezinguana tangu juzi