ase mimi tiba yangi mi music kuna playlist zangu nikiskiziza ndan ya dk 15 npo fofofo
pia kuna zile za sauti naziokotaga uko YouTube mfn sailut za mvua,magari,upepo sema zile mpka uzi link na feeling zako au moment flan ivo ulizokua kipnd cha mvua au kpnd upo road mida ya usiku yan zinakuaga tamu ad sometimes sku za weekend naziskilizaga mchan yn zina change mood kabsi
ni moja ya kazi ya ubongo inayonishngazaaga maana kam ni mvua ad nanza kusikia barid kbsa daah😊😋😋