Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,994
- 189,579
Hapa uzi unakuwa hot kuanzi 00:00 A.M hadi 06:00A.M tu.
Muda mwingine unakuwa closed
Nipo kwenye tv tu maana usingizi umekata.
Wachangiaji wamepotea. Dah! Endelea kutuwakilisha.Kwanini mkuu?
@alibakari
Wachangiaji wamepotea. Dah! Endelea kutuwakilisha.
Natimiza wajibu...[emoji854][emoji6]0422
Unakuja kwa kuchungulia chungulia!
Natimiza wajibu...[emoji854][emoji6]
Asante...Ndio umemaanisha hongera?Kongole kwako!
Asante...Ndio umemaanisha hongera?
Lugha za watu hizi....[emoji854][emoji6]
Sawa mdogo![emoji854][emoji6]Ndio mkuu!
Sawa mdogo![emoji854][emoji6]